Posts

UELEKEO WA HISIA ZANGU

Vitu vyepesi hupeperuka kufuata upepo uelekeako  na hisia ni kitu chepesi lakini hakifuati upepo bali hufuata njia yake iliyojitengenezea yenyewe na wala haziyumbishwi na kitu chochote. Na hisia hizo zimefuata njia yake na kutua kwako mpenzi. Nakupenda sana mpenzi

KARIBUNI RASMI KATIKA PAGE YA MANENO MATAMU

Karibuni sana ndugu zangu. Hii ni blog mpya ambayo ni maalumu kwa ajili ya masuala yahusuyo mapenzi,hapa utapata ujumbe kwa ajili ya mwenza wako,ushauri kuhusiana na masuala ya mapenzi na pia utajifunza mambo mbalimbali yanayohusiana na mahusiano kwa ujumla. KARIBUNI SANA